Sunday, April 3, 2011

KARIBUNI KATIKA ULIMWENGU WA FILAMU ITS AMAIZING






karibuni wadau kwenye blog yetu mpya ambayo itakuwa inajihusisha na masuala ya filamu. itakuletea habari mpya na pia itaelimisha kuhusiana na filamu zetu za kitanzania ilimradi kuboresha na kutanua filamu zetu za kitanzania.
katika blog yako hii kila kitu kitawekwa wazi hakuna kitakachofichwa kila kitakachoonekana kikiongelewa kitajenga soko la filamu Tanzania basi hatufichi uchi. ahsanteni. ADIOS


INDIA NA TAMADUNI ZAO ZA AJABU